Burudani
KENYA: Erick Omondi ahukumiwa kifungo jela
Mahakama nchini Kenya imemhukumu mchekeshaji maarufu nchini humo, Erick Omondi kifungo cha mwezi mmoja jela au faini ya Ksh.10,000 [TZS 170,524] kwa ...Tanzania imevuka wastani wa unywaji pombe Afrika
Serikali imesema takwimu zinaonesha Tanzania inaongoza kwa matumizi ya unywaji pombe barani Afrika huku watu wenye umri wa kuanzia miaka 15 wakitumia ...BASATA: Nay wa Mitego ni mtoto wetu, hatujamfungia
Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA), Dkt. Kedmon Mapana, ameeleza kwamba BASATA haikumfungia mwanamuziki Emmanuel Elibariki, maarufu kama ‘Nay wa ...Video ya Enjoy ya Jux na Diamond yaondolewa Youtube
Video ya wimbo ‘Enjoy’ wa mwanamuziki Juma Jux aliyomshirikisha Naseeb Abdul maarufu ‘Diamond Platnum’ imeondolewa kwenye mtandao wa YouTube kwa sababu ya ...Rais Samia aipa Taifa Stars milioni 500 kwa kufuzu AFCON
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa shilingi milioni 500 kwa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) baada ya kufukuzu kucheza fainali za ...Ney wa Mitego ashitakiwa kwa uchochezi
Msanii Emmanuel Elibariki maarufu ‘Nay wa Mitego’ ameachiwa kwa dhamana baada ya kushikiliwa kwa tuhuma za kufanya uchochezi kupitia wimbo wake wa ...