Burudani
Kontawa ajisalimisha jeshini, aomba kujiunga JKT
Msanii wa muziki nchini, Abdu Hamid Said maarufu ‘Kontawa’ amejisalimisha jeshini Lugalo jijini Dar es Salaam kurudisha mavazi yanayofanania na mavazi ya ...Harmonize: Wasanii kuweni na nyimbo za Kiingereza
Msanii Rajabu Abdul maarufu ‘Harmonize’ amesema ni vizuri wasanii wa Afrika kuwa na nyimbo za Kiingereza katika orodha za nyimbo zao ili ...Mandonga: Ushindi wa Muller Jr haukuwa halali, Rais hakufurahi
Bondia maarufu nchini, Kareem Mandonga maarufu kama ‘Mtu Kazi’ amesema ushindi wa mpinzani wake Muller Jr haukuwa halali na hata Rais wa ...Ommy Dimpoz afunguka ukaribu wake na Diamond
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Omary Nyembo maarufu kama ‘Ommy Dimpoz’ amesema kwamba msanii mwenzake Diamond Platnumz hakuhusika na tatizo lake ...Mamlaka yaeleza sababu za mashabiki wenye ‘N-Card’ kuzuiwa kuingia uwanjani
Kutokana na kadhia mbalimbali zinazojitokeza katika baadhi ya mechi mbalimbali kubwa hususani za Simba na Yanga ambapo mashabiki husalia nje ya uwanja ...