Burudani
Mandonga: Ushindi wa Muller Jr haukuwa halali, Rais hakufurahi
Bondia maarufu nchini, Kareem Mandonga maarufu kama ‘Mtu Kazi’ amesema ushindi wa mpinzani wake Muller Jr haukuwa halali na hata Rais wa ...Ommy Dimpoz afunguka ukaribu wake na Diamond
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Omary Nyembo maarufu kama ‘Ommy Dimpoz’ amesema kwamba msanii mwenzake Diamond Platnumz hakuhusika na tatizo lake ...Mamlaka yaeleza sababu za mashabiki wenye ‘N-Card’ kuzuiwa kuingia uwanjani
Kutokana na kadhia mbalimbali zinazojitokeza katika baadhi ya mechi mbalimbali kubwa hususani za Simba na Yanga ambapo mashabiki husalia nje ya uwanja ...Filamu 5 kali za kutazama wikendi hii
Unafahamu filamu kali zilizotoka hivi karibuni? Huhitaji kufikiria zaidi, kwani hapa kuna filamu mpya na kali zitakazokupa utulivu na kufurahia wikendi yako. ...Msanii aitaka kampuni ya mabasi imlipe milioni 123 na kwa kutumia wimbo wake
Msanii wa Kizazi kipya, Nuni Suleimani (35) ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Arusha kuiamuru kampuni ya mabasi ya Kilimanjaro Track ...Mkurugenzi Ilemela: The Cask Bar haina leseni ya kuuza chakula wala vileo
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela imetangaza kuifungia baa maarufu inayojulikana kama The Cask Bar & Grill iliyoko jijini Mwanza kwa muda wa ...