Burudani
Kundi la Sauti Sol latangaza kutengana
Kundi la wanamuziki maarufu nchini Kenya lilioshinda tuzo nyingi, Sauti Sol, limetangaza ziara ya kimataifa ya kuwaaga mashabiki kabla ya kutengana kwa ...Rais Samia apandisha dau hadi milioni 20 kwa kila goli kwa Yanga
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kuongeza fedha za motisha kwa timu ya Yanga kutoka TZS milioni 10 hadi TZS milioni 20 kwa ...Serikali yapeleka mashabiki 55 wa Yanga Afrika Kusini
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imegharamia usafiri wa mashabiki 55 wa timu ya Yanga kwenda Afrika Kusini katika mchezo wa pili ...Ahmed: Wachezaji wanadai posho, ila sio sababu ya kufungwa
Afisa Habari wa Simba SC, Ahmed Ally amesema kuchelewa kwa madai ya posho za wachezaji katika michezo kadhaa si sababu ya timu ...Albamu 10 za Hip-hop zilizouzwa zaidi ulimwenguni
Muziki wa Hip-Hop ulianza kuwa maarufu katika miaka ya 1980 na 1990 kama muziki wa rap. MaDJ waanzilishi wa hip-hop ni pamoja ...Kitambaa Cheupe, Wavuvi Kempu na nyingine 80 zafungiwa kwa kusababisha kelele
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limezifungia sehemu za starehe za wazi zaidi ya 80 baada ya kukuta ...