Burudani
Waziri aagiza Simba iandikiwe barua viti vilivyong’olewa vilipwe
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamaganda Kabudi amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuwaandikia barua Simba SC juu ya ...Timu ya Taifa ya Nigeria yasusia mechi ya kufuzu AFCON
Timu ya Taifa ya Nigeria imeamua kutocheza mechi ya kufuzu Mashindano ya AFCON 2025 nchini Libya dhidi ya Mediterranean Knights baada ya ...BASATA yaufungia wimbo wa Nitasema wa Nay wa Mitego
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limeufungia wimbo wa ‘Nitasema’ wa msanii Emmanuel Elibariki maarufu Nay wa Mitego ikisema wimbo huo umekiuka ...BASATA yalaani tukio la Zuchu kutupiwa vitu jukwaani
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limelaani tukio lililovuruga utumbuizaji kwa mwanamuziki Zuhura Othman Soud (Zuchu) baada ya kutupiwa vitu jukwaani na ...Waziri Ndumbaro amuongezea adhabu ya faini Babu wa Tiktok
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro ameongeza adhabu ya faini kutoka shilingi milioni 3 hadi milioni 5 msanii Seif ...Simba, Yanga zaikosa Kagame Cup kwa mara ya kwanza
Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kombe la Kagame) 2024 yanayoshirikisha timu 12 yamefunguliwa leo nchini Tanzania bila uwepo wa ...