Burudani
KAMPENI YA MTOKO WA KIBINGWA YATANGAZA WASHINDI WANNE
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Droo ya Kampeni ya Mtoko wa Kibingwa kwa msimu wa tano imefanyika na tayari imeibuka na ...Arteta ataka Arsenal irejeshewe pointi 2 kwa makosa ya VAR
Kocha wa klabu ya Arsenal, Mikel Arteta amedai ataridhika endapo timu yake itarudishiwa pointi mbili kutokana na makosa ya VAR ambayo yaliruhusu ...Jezi za Simba zakwama nchini Ethiopia
Msemaji wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema jezi mpya za Simba zilizotarajiwa kufika nchini kutokea China, zimeshindwa kuwasili Tanzania kutokana na ...Meridianbet Yaadhimisha Siku ya Redio Duniani ITV&Radio One
Tarehe 13 siku ya Redio duniani kampuni ya michezo ya ubashiri Tanzania Meridianbet imetoa vifaa vya kutendea kazi kwa kituo cha Habari ...Meridianbet Yampata Mshindi wa TZS 20m kwa Dau la 5,000/=
Mfalme mpya wa kubeti kutoka Meridianbet amepatikana. Mfalme huyo anayetokea mkoani Mbeya alijipatia kitita cha Milioni Ishirini na laki moja, elfu nne ...Rais Samia kununua kila goli la Simba na Yanga kwa TZS milioni 5
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kununua kila bao litakalofungwa na klabu za Simba na Yanga katika michezo yao ya kimataifa ya mwisho ...