Burudani
Yanga yafungiwa kwa kushindwa kumlipa aliyekuwa mchezaji wake
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeifungia Yanga SC kusajili wachezaji mpaka itakapomlipa mchezaji wake, Lazarus Kambole aliyeshinda kesi ya ...Kombe la Muungano kurejea baada ya miaka 20
Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF) pamoja na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) zimetangaza kurejea rasmi kwa Kombe la ...Beno Kakolanya atoroka kambini Singida FG ikiikabili Yanga
Klabu ya Singida Fountain Gate imesema inasikitishwa na kitendo cha kipa wao Beno Kakolanya kutoroka kambini wakati timu hiyo ikikabiliwa na mchezo ...Serikali kuwapeleka bure mashabiki wa Yanga nchini Afrika Kusini
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema italipa gharama zote safari na kujikimu kwa mashabaiki wa Yanga kwenda Afrika Kusini katika mchezo ...Marioo adaiwa milioni 550 kwa kuvunja mkataba
Msanii wa muziki, Omary Mwanga maarufu ‘Marioo’ anayedaiwa TZS milioni 550 kwa madai ya kuvunja mkataba, anatarajiwa kufika mahakama Kuu Masjala ya ...