Burudani
Mwamuzi wa pambano la Mandonga asimamishwa hadi atakaporudi darasani
Mwamuzi Habib Mohammed ‘Mkarafuu’ aliyechezesha pambano la Karim Said Mandonga na Salim Abeid amesimamishwa kwa muda baada ya kukiri kushindwa kumudu kuchezesha ...Diamond ashika namba 5 Afrika
Msanii Diamond Platnum ameshika nafasi ya tano barani Afrika kwa kuwa na wafuasi milioni 7.1 kwenye mtandao wa Youtube. Pia anashika nafasi ...The Pirates, Ndani ya Meridianbet: Furahia Sloti Hii ya Pirates Power!
Bwana sloti, leo nimekuja na habari njema kabisa kwa wapenzi wa gemu za simu na gemu za mtandaoni! Bila shaka ungependa kulipwa ...Mwakinyo alikwenda kushiriki pambano Uingereza bila kibali
Baada ya bondia wa ngumi za kulipwa nchini , Hassan Mwakinyo kupoteza pambano la kimataifa dhidi ya Liam Smith, imebainika kuwa Mwakinyo ...Serikali: Watanzania wamechoka kuona Taifa Stars ikifungwa kila siku
Serikali imesema imeandaa mpango wa kusaka vipaji vya Watanzania kwenye maeneo yote ya nchi vitakavyoleta mabadiliko katika timu ya taifa kutokana na ...TPLB yavionya vilabu kuacha vitendo vya kishirikina uwanjani
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imezitaka klabu zote kuacha mara moja kufanya vitendo ...