Burudani
Ushindi dabo dabo na Parimatch
Kampuni ya michezo ya kubahatisha Parimatch mara baada ya kumaliza kufanya uzinduzi mkubwa wa kuidhamini Klabu ya Mbeya City inayoshiriki Ligi Kuu ...Kocha wa Taifa Stars aondolewa
Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) limefikia makubaliano ya kumuondoa Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen kwenye benchi la ufundi pamoja na ...Cesar Manzoki atimkia China
Klabu ya Vipers Sports Club imethibitisha kuwa mshambuliaji wake, Cesar Manzoki amekamilisha uhamisho wa kujiunga na klabu ya Dalian Pro FC inayoshiriki ...Ujumbe wa Karia kwa wanaoshindana na TFF
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema sheria zinazowaelekeza TFF kufungia watu zimetengenezwa na viongozi waliopita na ...Zoran aeleza hali ya kisaikolojia ya Simba baada ya kufungwa na Yanga
Kocha Mkuu wa Simba, Zoran Maki amewapongeza wachezaji wa Simba SC kwa ushindi dhidi ya Geita Gold FC licha ya kuwa hawakuwa ...Simba, Yanga kumiliki viwanja vyao ndani ya miezi sita
Klabu ya Simba na Yanga zimeahidi kumiliki viwanja vyao wenyewe ndani ya miezi sita ikiwa ni baada ya agizo la Waziri wa ...