Burudani
Zoran aeleza hali ya kisaikolojia ya Simba baada ya kufungwa na Yanga
Kocha Mkuu wa Simba, Zoran Maki amewapongeza wachezaji wa Simba SC kwa ushindi dhidi ya Geita Gold FC licha ya kuwa hawakuwa ...Simba, Yanga kumiliki viwanja vyao ndani ya miezi sita
Klabu ya Simba na Yanga zimeahidi kumiliki viwanja vyao wenyewe ndani ya miezi sita ikiwa ni baada ya agizo la Waziri wa ...Diamond afichua kiasi ambacho Zuchu atalipa akisitisha mkataba WCB
Msanii wa muziki na mmiliki wa lebo ya Wasafi, Diamond Platnumz amefichua kuwa endapo msanii wake Zuchu atasitisha mkataba wake katika lebo ...TFF kukagua mikataba ya timu za Ligi Kuu
Kamati ya Leseni za Klabu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeanza ukaguzi wa klabu za Ligi Kuu, ukaguzi utakaofanyika ...Karia: Mimi siyo mwanachama wa Simba
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Wallace Karia amekanusha madai ya kuhusishwa kwamba yeye ni mwanachama wa Simba. Akizungumza katika ...Timu itakayoshindwa kufika uwanjani kupokonywa alama 15
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imesema timu itakayokosa kufika uwanjani na kusababisha mchezo kutofanyika baada ya kushiriki kikao cha maandalizi ya ...