Burudani
Tangazo la nafasi za kazi Yanga SC
Klabu ya Yanga imewatangazia wanachama wake nafasi za ajira katika nafasi zifuatazo: 1. Mtendaji Mkuu (Chief Executive Officer) 2. Mkurugenzi wa Fedha ...Bodi ya Ligi yaruhusu wachezaji 12 wa kigeni kwenye mchezo mmoja
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeongeza idadi ya wachezaji wa kigeni wanaoweza kusajiliwa na vilabu nchini pamoja na idadi ya wachezaji ...Tanzania na Uganda kuandaa AFCON 2027
Tanzania inakwenda kushirikiana na nchi ya Uganda kuomba kuandaa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) ya mwaka 2027. Akizungumza na ...Yanga yasema TFF ilipaswa kutambua nafasi yao kama mabingwa, mkutano wa CAF
Uongozi wa Klabu ya Yanga umesema bado hawafahamu sababu za kutopewa mwaliko katika mkutano wa 44 wa Shirikisho la CAF. Akizungumza Kaimu ...Sensa, uchaguzi Kenya na M-Bet vyatajwa kuchelewesha jezi za Simba
Afisa Mtendaji Mkuu wa Vunjabei Group Limited, Fred Ngajiro amesema sababu kubwa ya kuchelewa kufika kwa jezi za Simba SC msimu wa ...Timu za Sudan Kusini zakosa viwanja vya nyumbani
Timu zilizoingia klabu bingwa barani Afrika kutoka nchini Sudan Kusini zimekosa uwanja wa kuchezea nyumbani kutokana na viwanja vyao kukosa vigezo vilivyoidhinishwa ...