Burudani
Kaoneka alalamika Mandonga kuwa maarufu kuliko yeye
Bondia wa ngumi nchini, Shabani Kaoneka amewalalamikia waandishi wa habari kuwa wanaegemea upande wa bondia Karim Mandonga na kumpa fursa mbalimbali licha ...Kizz Daniel akamatwa na Polisi
Msanii maarufu kutoka nchini Nigeria, Kizz Daniel amekatwa na Polisi kutokana na kutotumbuiza katika tamasha la ‘Summer Amplified’ lililofanyika Jumapili 7, 2022 ...Diamond alipwa TZS milioni 23 kwa dakika 1 katika mkutano wa Raila Odinga
Agosti 6 mwaka huu ilikuwa siku nzuri kwa msanii Diamond Platnumz kutoka Tanzania wakati mgombea Urais wa Kenya, Raila Odinga alipokuwa akijinadi ...Str8up waomba radhi kutoonekana kwa Kizz Daniel
Kampuni inayohusika na uandaaji wa matamasha ya burudani Str8up imewaomba radhi mashabiki na wadau wa burudani baada ya msanii maarufu kutoka Nigeria, ...Bien: Mahusiano kwenye miaka ya ishirini ni kupoteza muda
Mwimbaji mkuu wa kundi la Sauti Sol nchini Kenya, Bien-Aime Baraza amesema hashauri watu waliopo katika umri wa miaka ya ishirini kuwa ...Mtanzania aondolewa mbio za mita 100 Uingereza
Mwanariadha Mtanzania katika mashindano ya mbio fupi kwa wanawake, Winfrida Makenji ameondolewa kwenye mashindano baada ya kukutwa na kosa katika kuanza mbio ...