Burudani
Manara amwomba radhi Waziri Mchengerwa
Aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara amemwomba radhi Waziri wa Michezo, Mohamed Mchengerwa kwa kudhania kuwa amelielekeza Shirikisho la Mpira ...Makosa manne yanayojirudia kila mara kwenye Bongo Movies
Kumekuwa na malalamiko mengi juu ya filamu za Kitanzania kuwa hazina uhalisia, huku watazamaji wakigeukia filamu za mataifa mengine hasa kwa kipindi ...Diamond aeleza sababu ya kuchukua 60% ya mapato ya wasanii WCB
Kufuatia kuondoka kwa Rayvanny wiki mbili zilizopita, ambaye alilazimika kulipa TZS bilioni 1 ili kununua sehemu iliyobaki ya mkataba wake wa miaka ...Gari la TFF hatarini kupigwa mnada ili kulipa deni
Wakili wa taasisi za Filbert Bayi, Karoli Tarimo amefungua maombi akiiomba mahakama iruhusu kulikamata basi la TFF ili kulipa deni la TZS ...TFF yamjibu Manara
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Kidao Wilfread amesema amesikitishwa na madai ya aliyekuwa Ofisa wa Klabu ya ...Manara: Nisingetamka maneno yale kama nisingechokozwa
Kamati ya Maadili ya TFF imemfungia Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara kujihusisha na soka ndani na nje ya nchi kwa ...