Burudani
Marioo adaiwa milioni 550 kwa kuvunja mkataba
Msanii wa muziki, Omary Mwanga maarufu ‘Marioo’ anayedaiwa TZS milioni 550 kwa madai ya kuvunja mkataba, anatarajiwa kufika mahakama Kuu Masjala ya ...Uwanja wa Jamhuri, Morogoro wasimamishwa kutumika Ligi Kuu
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imesitisha matumizi ya uwanja wa Jamhuri, Morogoro urushaji wa matangazo mubashara ya runinga. “Klabu ya Simba ...Zuchu apigwa marufuku kufanya muziki Zanzibar kwa miezi sita
Msanii maarufu wa kizazi kipya Zuhura Othman Soud ‘Zuchu’ amefungiwa kufanya shughuli zote za sanaa visiwani Zanzibar kwa kipindi cha miezi sita ...Washindi 12 wa NMB MastaBata na wenza wao wapaa Afrika Kusini
WASHINDI 12 wa kampeni ya kuhamasisha matumizi yasiyohusisha pesa taslimu iliyoendeshwa na Benki ya NMB kwa miezi mitatu ‘NMB MastaBata – Halipoi’ ...Watu sita wakamatwa kwa tuhuma za mauaji ya rapa AKA
Polisi nchini Afrika Kusini inawashikilia washukiwa sita wa mauaji ya mwanamuziki maarufu, Kiernan Forbes, maarufu kwa jina la AKA, pamoja na rafiki ...