Burudani
FIFA yaifungia Geita Gold FC
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) limeifungia Geita Gold FC kusajili wachezaji hadi litakapomlipa aliyekuwa kocha wake Ettiene Ndayiragije. ...Zuchu kuendelea kunogesha Promosheni ya Big Sale
Infinix ilizindua rasmi promosheni ya Big Sale Tarehe 11/06/2022 na promosheni hii itadumu kwa kipindi cha Mwezi Mmoja, Promosheni ya Big Sale ...Ndanda FC yaingizwa sokoni
Ndanda Fc maarufu ya mkoani Mtwara ambayo inashiriki ligi kuu daraja la kwanza inauzwa rasmi kutokana na kukosa fedha za kujiendesha. Mkurugenzi ...Bondia Mtanzania aibuka bingwa Ujerumani
Bondia Mtanzania anayeishi nchini Sweden, Awadhi Tamim amemtwanga Bondia Shkelqim Ademaj wa Ujerumani kwa Technical Knock Out (TKO) katika pambano la raundi ...Mashabiki wa Yanga wazuia Mayele kuuzwa
Mtendaji Mkuu wa klabu ya Young African (YANGA), Senzo Mazingisa amesema kwa sasa viongozi wa klabu hiyo hawana mpango wa kumuuza mchezaji ...Afrika Kusini: Bondia aliyeonekana akirusha ngumi hewani afariki dunia
Shirikisho la Ngumi za Kulipwa nchini Afrika Kusini, pamoja na familia ya Buthelezi imethibisha kutokea kwa kifo cha bondia, Simiso Buthelezi aliyefariki ...