Burudani
Rais Samia: Kombe la Dunia kutembezwa Tanzania kuna maana kubwa
Rais Samia Suluhu Hassan amewaomba Watanzania kutumia fursa zinazoletwa nchini kuitangaza na kuisemea vizuri Tanzania pamoja na kutumia fursa hizo kibiashira. Ameyasema ...Simba SC yavunja mkataba na kocha Pablo Franco
Klabu ya Simba imevunja mkataba na kocha wake mkuu, Pablo Franco Martin baada ya kufikia makubaliano ya pande zote mbili. Katika taarifa ...Yanga yaachana na Saido
Uongozi wa Klabu ya Young Africans (Yanga SC) imetoa shukrani zake za dhati kwa mchezaji Said Ntibazonkiza (Saido) ambaye amemaliza mkataba wake ...NEMC kuzishughulikia kumbi za starehe zinazopiga kelele usiku
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetoa onyo kali kwa baadhi ya wamiliki wa kumbi za starehe wanaondelea ...Sababu za Yanga kuwasimamisha Saido na Ambundo
Msemaji wa Young African (Yanga) SC, Haji Manara amethibitisha taarifa za kusimamishwa kwa muda kwa wachezaji wa timu hiyo Dickson Ambundo na ...TBC kutoa tuzo kwa wasanii
Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), limetangaza kuanza kutoa tuzo kwa wasanii wakongwe na kizazi kipya kwa lengo la kutambua mchango wao katika ...