Burudani
Taarifa ya TFF kuhusu CEO wa Simba, Barbara Gonzalez ‘kuzuiwa’ kuingia uwanjani
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeeleza kusikitishwa na vitendo vya vurugu vilivyofanywa na baadhi ya viongozi wa Simba eneo la ...Rais Samia: Ulemavu sio kikwazo cha kufanya makubwa
Rais Samia Suluhu Hassan amesema ulemevu hauzuii kufanya mambo makubwa duniani, bali inapaswa kutayarishwa mazingira, kutoa uwezo wa kuelimisha ili kila mtu ...Zijue album 10 za Bongofleva zilizosikilizwa zaidi
Mwaka 2021 unaelekea mwishoni, mambo mengi yamefanyika, moja wapo likiwa ni wanamuziki wa Tanzania kutoa ablum na EP za muziki. Mashabiki wa ...Rais Samia aipongeza Tembo Warriors, atoa maagizo TFF na wizara
Rais Samia Suluhu Hassan ameipongeza timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Wenye Ulemavu, Tembo Warriors, kwa kufanikiwa kufuzu Kombe la ...Tanzania yafuzu Kombe la Dunia (Wenye Ulemavu)
Timu ya Soka ya Tanzania ya Wenye Ulemavu, Tembo Warriors imefuzu kushiriki Mashindano ya Dunia ya mchezo huo yatakayofanyika nchini Uturuki 2022. ...Waziri Bashungwa awaonya mashabiki wanaobeza timu zao
Waziri wa Utamaduni, Sana na Michezo, Innocent Bashungwa ameonya tabia ya mashabiki wa timu kubeza timu zao pindi zinaposhindwa kufikia malengo au ...