Burudani
Mobeto: Rick Ross ni rafiki yangu, tunafanya biashara
Hamisa Mobetto amekana madai kwamba ana uhusiano wa kimapenzi na mwanamuziki kutoka nchini Marekani, Rick Ross. Mrembo huyo kutoka Tanzania amesema kwamba ...Mastaa wa Bongo wanaotarajia kufunga ndoa 2022
Kwenye tasnia ya muziki nchini Tanzania, mwaka 2021 ulikuwa wa kutoa album na EPs, lakini huenda mwaka 2022 ukawa ni wa ...Yanga yazungumzia usajili wa Clatous Chama
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Young Africa SC, Senzo Mbatha amesema klabu hiyo haiwezi kuzungumzia tetesi zinazoenea mitandaoni kwamba wanataka kumsajili aliyekuwa kiungo ...Simba SC ‘yagoma’ kuvaa nembo ya GSM, vilabu vilivyokubali vyatajwa
Klabu ya Simba imeendeleza msimamo wake wa kutokuvaa nembo ya mdhamini mwenza wa Ligi Kuu Tanzania Bara (GSM). Baada ya mkutano kati ...Vita ya Ronaldo na Messi yahamishiwa Klabu Bingwa Ulaya
Christiano Ronaldo na Lionel Messi watakutana tena katika mzunguko wa 16 bora wa Klabu Bingwa Ulaya (UEFA) baada ya vilabu vya PSG ...Taarifa ya TFF kuhusu CEO wa Simba, Barbara Gonzalez ‘kuzuiwa’ kuingia uwanjani
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeeleza kusikitishwa na vitendo vya vurugu vilivyofanywa na baadhi ya viongozi wa Simba eneo la ...