Burudani
Kombe la Muungano kurejea baada ya miaka 20
Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF) pamoja na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) zimetangaza kurejea rasmi kwa Kombe la ...Beno Kakolanya atoroka kambini Singida FG ikiikabili Yanga
Klabu ya Singida Fountain Gate imesema inasikitishwa na kitendo cha kipa wao Beno Kakolanya kutoroka kambini wakati timu hiyo ikikabiliwa na mchezo ...Serikali kuwapeleka bure mashabiki wa Yanga nchini Afrika Kusini
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema italipa gharama zote safari na kujikimu kwa mashabaiki wa Yanga kwenda Afrika Kusini katika mchezo ...Marioo adaiwa milioni 550 kwa kuvunja mkataba
Msanii wa muziki, Omary Mwanga maarufu ‘Marioo’ anayedaiwa TZS milioni 550 kwa madai ya kuvunja mkataba, anatarajiwa kufika mahakama Kuu Masjala ya ...Uwanja wa Jamhuri, Morogoro wasimamishwa kutumika Ligi Kuu
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imesitisha matumizi ya uwanja wa Jamhuri, Morogoro urushaji wa matangazo mubashara ya runinga. “Klabu ya Simba ...