Burudani
Diamond: Wakati mwingine tutashinda BET
Mwanamuziki Diamond Platnumz amewashukuru Watanzania kwa upendo na umoja waliomuonesha katika kipindi chote cha kuwania tuzo ya BET nchini Marekani. Diamond ametoa ...Kelvin John asajiliwa KRC Genk ya Ubelgiji
Mshambuliaji kinda wa Tanzania, Kelvin John ‘Mbappe’ (18) amesajiliwa na KRC Genk ya Ubelgiji kwa mkataba wa miaka mitatu, hadi mwaka 2024, ...Mwanamuziki Ismail Michuzi afariki dunia
Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Ismail Issa Michuzi (61) amefariki dunia leo asubuhi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar ...Mawaziri, wabunge kujifunza kucheza gofu
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro ameahidi kuwashawishi mawaziri na wabunge kujifunza mchezo wa gofu kufuatia ombi la Balozi wa Ufaransa ...Thamani ya mikataba ya matangazo ya mpira katika nchi za Afrika
Mei 25, 2021, mpira wa miguu nchini Tanzania ilipiga hatua nyingine baada ya Azam Media Limited na Shirikisho la Mpira wa Miguu ...Bashungwa ataka wasanii kuwa na bima za afya
Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa amehimiza wasanii nchini kuhakikisha wanamiliki bima za afya ambazo zitawasaidia wanapokuwa wagonjwa wakati ...