Burudani
Mashabiki Simba vs Yanga kurudishiwa tiketi
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa ameagiza mashabiki 43,947 waliokata tiketi kwenye mchezo wa Simba SC na Yanga SC ...Majaliwa ataka wizara ieleze hatima ya waliolipa viingilio Simba vs Yanga
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kutoa taarifa haraka kuhusu lini mchezo wa Simba SC na ...Simba: Walichofanya Yanga ni usaliti kwa nchi na serikali
Klabu ya Simba imeeleza kusikitishwa na uamuzi wa wapinzani wao Klabu ya Yanga kuondoa timu uwanjani, na kwamba kitendo hicho ni sawa ...Wasanii kutumia akaunti zao za YouTube bure
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi amesema Wizara hiyo, Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya ...TECNO YAJUMUIKA NA WATEJA WAKE KATIKA USIKU WA VALENTINE
TECNO Mobile ni moja ya kampuni iliyoshiriki vyema katika kuonyesha upendo kwa wateja wake. TECNO ilizindua rasmi promosheni ya valentine (TUNAKUTHAMINI MTHAMINI) ...