Burudani
Bodi ya ligi yasogeza mbele mchezo wa Simba na Yanga
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imefanya mabadiliko katika mchezo Na.61 wa msimu wa 2020/2021 kati ya Young Africans SC na Simba ...Lady JayDee adaiwa kuhamasisha uvutaji bangi
Wimbo unaokwenda kwa jina la One Time wa mwanamuziki Judith Wambura, maarufu, Lady JayDee upo kwenye hati hati ya kufungiwa kwa madai ...Aliyoyasema Samatta baada ya kujiunga Fenerbahçe
Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta amejiunga na Klabu ya Fenerbahçe ya Uturuki kwa miaka minne akitokea Aston Villa ...Zuchu afunguka kuhusu uhusiano wake na Diamond na kufungiwa kwa Cheche
Mwanamuziki Zuhura Kopa maarufu kwa jina la sanaa, Zuchu, amesema uhusiano wake na Diamond Platnumz ni wa kikazi tu na hakuna kingine ...Simba SC yaanza na Al Ahly ya Misri
Klabu ya Soka ya Simba imefikia makubaliano na Klabu ya Al Ahly ya Misri katika kushirikiana kwenye ufundi na uendeshaji wa wachezaji. ...Tetesi za usajili wa Mbwana Samatta Ulaya
Klabu ya West Brom Albion ya nchini Uingereza inajaribu kuna saini ya mshambuliaji wa Aston Villa, Mbwana Samatta ambaye ameripotiwa kuwa anaelekea ...