Burudani
Zuchu afunguka kuhusu uhusiano wake na Diamond na kufungiwa kwa Cheche
Mwanamuziki Zuhura Kopa maarufu kwa jina la sanaa, Zuchu, amesema uhusiano wake na Diamond Platnumz ni wa kikazi tu na hakuna kingine ...Simba SC yaanza na Al Ahly ya Misri
Klabu ya Soka ya Simba imefikia makubaliano na Klabu ya Al Ahly ya Misri katika kushirikiana kwenye ufundi na uendeshaji wa wachezaji. ...Tetesi za usajili wa Mbwana Samatta Ulaya
Klabu ya West Brom Albion ya nchini Uingereza inajaribu kuna saini ya mshambuliaji wa Aston Villa, Mbwana Samatta ambaye ameripotiwa kuwa anaelekea ...Wamiliki wa Pool Tables watakiwa kuyasajili wapate leseni
Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT) imewataka wamiliki wote wa pool tables kuhakikisha zinasajiliwa na kupatiwa leseni. GBT yenye jukumu la ...TCRA yaifungia Wasafi FM kwa siku saba
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekifungia kwa siku saba kituo cha utangazaji, Wasafi FM kuanzia leo Septemba 11, 2020 kwa kukiuka kanuni ...Samatta kuondoka Aston Villa
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta anaelekea kwenye mlango wa kuondoka Aston Villa licha ya kukaa klabuni hapo hapo kwa miezi ...