Burudani
Cristiano Ronaldo, mwanasoka wa kwanza bilionea duniani
Mshambuliaji wa Juventus ya Italia, Cristiano Ronaldo ameweka rekodi nyingine kwa kuwa mwanasoka wa kwanza bilionea duniani. Mwaka uliopita Ronaldo aliingiza $105 ...Kenya ilivyomfanya Diamond Platnumz kuwa milionea
Raia wa Kenya wanaongoza kumfanya nyote wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz kuwa mmoja wa mastaa wanaoingiza fedha nyingi kupitia mtandao wa YouTube. ...Mtangazaji B-Dozen wa Clouds FM atimkia E-FM
Mtangazaji maarufu wa Clouds FM (Clouds Media Group), Hamisi Mandi amejiunga rasmi na kituo cha utangazaji cha E-FM (E-FM Company Limited). Mandi ...Wasanii 5 wa Tanzania waliotazamwa zaidi kwa mwaka mmoja uliopita
Tasnia ya muziki nchini Tanzania inazidi kukua kila siku kufikia kiwango cha kuwawezesha wasanii kuendesha maisha yao na kufanya uwekezaji mkubwa jambo ...Serikali yaruhusu mashabiki viwanjani, yaweka masharti
Siku moja kabla ya kufikia Juni Mosi 2020, ambayo ndiyo siku shughuli za michezo zitarejea rasmi nchini baada ya kuzuiwa kwa zaidi ...Idris Sultan ashtakiwa kwa kutumia laini ya simu ya mtu mwingine
Mchekeshaji kutoka nchini Tanzania, Idris Sultan amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam tayari kusomewa mashtaka yanayomkabili. Sultan ...