Burudani
Corona: Picha za hoteli ya Diamond Platnumz aliyotoa iwe karantini
Mwanamuziki Diamond Platnumz ametoa hoteli yake jijini Dar es Salaam ili kutumiwa na serikali kuwaweka watu wenye maambukizi au wanaoshukiwa kuwa na ...Corona: Diamond Platnumz apata hasara ya TZS 3.5 bilioni
Nyota wa muziki nchini Tanzania, Naseeb Abdul maarufu kwa jina la sanaa, Diamond Plattnumz amesema kuwa amepoteza shilingi 3.5 bilioni kutokana na ...Corona: Diamond kuzilipia kodi ya miezi mitatu familia 500
Nyota wa muziki nchini Tanzania, Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz ametangaza mpango wake wa kuzilipia kodi kwa miezi mitatu familia 500, ikiwa ...Video: Profesa wa Money Heist akoshwa na waigizaji wa Nigeria walioiga tamthilia hiyo
Muigizaji nyota wa tamthilia ya Money Heist (Lacasa de Papel) Alvaro Morte maarufu Profesa ameonesha kukoshwa na kikundi cha wavulana kuoka nchini ...Wanamuziki Cheed na Killy wajitoa katika lebo ya Alikiba
Wanamuziki Rasheed maarufu Cheed na mwenzake Ally Omary maarufu Killy wametangaza kujiondoa chini ya lebo ya mwanamuziki Alikiba, Kings Music Records. Wasanii ...Zifahamu sababu kuu mbili za video kupunguziwa “views” YouTube
Tangu kuanzishwa kwake siku ya wapendanao (valentine’s day) mwaka 2005, YouTube umekuwa mtandao mashuhuri kwa wasanii, vyombo vya habari, taasisi za elimu ...