Burudani
Madam Ritta apewa siku 30 amlipe mshindi wa BSS 2019
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza ametoa mwezi mmoja kwa uongozi wa Kampuni ya Benchmark Production inayoendesha mashindano ...Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo afanya kikao na msanii Chid Benz
Naibu Waziri Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Juliana Shonza amwaahidi ushirikiano msanii wa bongofleva nchini Rashid Abdallah maarufu Chidbenz. Mheshimiwa Shonza ametoa ...Mbinu 24 za kuwa mtu mwenye ushawishi (influencer) katika mtandao wa Twitter
Makala hii fupi ihusuyo matumizi ya mtandao wa Twitter kwa wenye lengo la kuwa “influencers” nimeiandaa kwa kupitia majarida mbalimbali ya masoko ...Zifahamu timu za soka kongwe zaidi nchini
Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara ilianzishwa mwaka 1963, ikiwa na maana kwamba mwaka huu wa 2021 imetimiza miaka 58 tangu kuanzishwa ...Filamu (Movies) 24 unazopaswa kuzitazama kabla hujafikisha miaka 30
The Breakfast Club (1985) Ni filamu ya nyuma kidogo. Lakini hata kama tayari umepita umri wako wa shule, bado filamu hii ina ...