Burudani
TFF yaweka wazi sababu ya kutohudhuria kikao cha Waziri Dk Mwakyembe
Tumesikia taarifa kupitia vyombo vya habari ya kuwa Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF), limeshindwa kuhudhuria kikao kilichoitishwa na Waziri wa Habari,Sanaa,Utamaduni na ...Waziri Mwakyembe ahoji sababu za Kocha Emmanuel Amunike kufukuzwa
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ametaka kuelezwa sababu za aliyekuwa Kocha Mkuu wa Tiu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), ...TFF yavunja mkataba na Kocha wa Taifa Stars, Emmanuel Amunike
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Kocha wa Timu ya Taifa “Taifa Stars” Emmanuel Amunike wamefikia makubaliano ya pamoja kusitisha ...Kocha Emmanuel Amunike kuendelea kuifundisha Taifa Stars
Licha ya kutupwa nchi ya Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON 2019) kwa fedheha baada ya kupoteza michezo yote mitatu ya hatua ...Mahesabu ya ubingwa yanaibeba zaidi Simba SC
Timu ya Simba imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mtibwa Sugar mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa ...TFF yawaonya wanaotumia nembo vibaya kutangaza gharama za AFCON
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linawaonya wote wanaotumia vibaya nembo ya TFF kutangaza gharama za hoteli na kusafirisha Watanzania kwenda ...