Burudani
Yanga yapanda viwango vya ubora Afrika, Simba yaporomoka
Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limetoa takwimu ya viwango vya klabu kwa kipindi cha Novemba ...BASATA yawapunguzia adhabu Whozu, Mbosso na Billnass
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limewapunguzia adhabu wasanii wa bongofleva nchini Whozu, Billnass na Mbosso na kuwataka wasanii hao kulipa faini ...Yanga yamfukuzisha kazi kocha wa Simba
Klabu ya Simba SC imevunja mkataba na kocha mkuu wa kikosi cha kwanza, Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robertinho) kwa makubaliano ya ...Tabora United yafungiwa na FIFA
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeifungia klabu ya Tabora United kusajili mpaka itakapomlipa aliyekuwa mchezaji wake, Evariste Kayembe. Taarifa ...Video ya ‘Ameyatimba Remix’ yalalamikiwa, BASATA kutoa tamko
Ikiwa ni siku mbili baada ya video ya wimbo ‘Ameyatimba (Remix)’ ya msanii Whozu ambaye ameshirikiana na Billnass pamoja na Mbosso kuachiwa, ...Mwandaaji wa Miss Rwanda jela miaka mitano kwa ubakaji
Mwandaaji wa shindano la urembo la Miss Rwanda, Dieudonne Ishimwe (36) maarufu Prince Kid amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kwa kosa ...