Burudani
Utata waibuka baada ya Zimbabwe kupata miss ‘mzungu’
Kurejea kwa Zimbabwe katika shindano la Miss Universe baada ya miaka 22 limezua utata mkubwa baada ya mwanamke ‘mweupe’ kutangazwa kuwa mshindi ...Mwakinyo: Mapromota waliingia mkataba wa siri na watu tusioelewana
Bondia maarufu nchini, Hassan Mwakinyo amesema sababu za kutangaza kutoshiriki pambano ni baada ya mapromota kuvunja makubaliano na kuingia mkataba wa siri ...Ramadhan Brothers washika namba 5 America Got Talent
Wanasarakasi kutoka Tanzania, Ramadhani Brothers wameshika nafasi ya tano katika shindano maarufu duniani la kusaka vipaji la American Got Talent (AGT) lillofanyika ...Mitandao 5 ya kijamii inayotumika zaidi Afrika kwa mwaka 2023
Mitandao ya kijamii ni majukwaa na huduma za mtandaoni ambazo huwezesha watu kuwasiliana, kushirikiana, na kubadilishana maudhui kwa njia ya dijiti. Mitandao ...Tabora United yafungiwa kufanya usajili wa wachezaji
Klabu ya Ligi Kuu ya NBC ya Tabora United ambayo ilikuwa ikiitwa Kitayosce FC imefungiwa kufanya usajili wa wachezaji wa kimataifa mpaka ...Vigezo vilivyozingatiwa na CAF kuchagua mwenyeji wa AFCON
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetangaza rasmi kuwa Tanzania, Kenya na Uganda zimepata nafasi ya kuandaa michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON) ...