Data
UNAIDS yatabiri ongezeko la maambukizi ya Ukimwi Marekani ikiendelea na usitishwaji wa misaada
Shirika la Umoja wa Mataifa la Ukimwi (UNAIDS) limesema kesi mpya za maambukizi ya HIV na Ukimwi huenda zikaongezeka kwa zaidi ya ...Wizara ya Afya yafafanua upatikanaji wa dawa za ARV
Wizara ya Afya imesema dawa za kufubaza makali ya Virusi vya Ukimwi (ARV) haziuzwi na zipo za kutosha, hivyo watumiaji wa dawa ...Trump atangaza kusitisha misaada Afrika Kusini
Rais wa Marekani, Donald Trump, amedai kuwa Afrika Kusini inataifisha ardhi na kuwatendea vibaya watu wa tabaka fulani, kutokana na hayo, ametangaza ...Nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya watu wanaoishi na VVU
Mapema wiki hii, Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani ilitangaza kusitisha kwa muda wa siku 90 utoaji wa fedha kutoka kwa ...Uganda yathibitisha uwepo wa ugonjwa wa Ebola jijini Kampala
Wizara ya Afya nchini Uganda imethibitisha kuzuka kwa ugonjwa wa Ebola katika Mji mkuu Kampala, huku mgonjwa wa kwanza aliyethibitishwa akifariki kutokana ...