Data
Waziri Mkuu Tanzania Kassim Majaliwa: Viwanda vipya vimetoa ajira zaidi ya laki 4
Viwanda vipya zaidi ya 4,000 vilivyojengwa katika mikoa mbalimbali nchini Tanzania kuanzia mwaka 2015 vimetoa maelfu ya ajira kwa wananchi ikiwa ni ...Wagonjwa wa Corona Tanzania wafikia 12
Rais Dkt Magufuli ametangaza kuwa idadi ya watu wenye maambukizi ya virusi vya Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia 12 kutoa sita ...Ukuaji wa uchumi unavyotegemea sekta ya mawasiliano ya simu za mkononi
Takwimu zinaonyesha kwamba Tanzania imepitia kipindi kizuri cha ukuaji wa kiuchumi katika muongo mmoja uliopita na kuifanya hivi sasa kuwa moja ya ...Benki ya Dunia, na Tanzania zatofautiana viwango vya ukuaji wa uchumi
Uchumi wa Tanzania unatarajiwa kukua kwa asilimia 5.8 mwaka 2020 ikilinganishwa ukuaji wa asilimia 5.6 mwaka huu, ambapo ukuaji unatarajiwa kuongezeka hadi ...Zifahamu timu za soka kongwe zaidi nchini
Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara ilianzishwa mwaka 1963, ikiwa na maana kwamba mwaka huu wa 2021 imetimiza miaka 58 tangu kuanzishwa ...