Data
AfDB: Uchumi wa Tanzania kuupita uchumi wa Kenya na Uganda
Uchumi wa Tanzania unatarajia kukua zaidi mwaka 2024 kupita uchumi wa Kenya na Uganda kwa mujibu wa ripoti ya Benki ya Maendeleo ...Vyuo vikuu 10 bora Afrika Mashariki
Elimu ya juu barani Afrika inaendelea kukua kadri miaka inavyozidi kusonga tofauti na miaka ya nyuma. Vyuo vingi vimeendelea kuboreshwa huku vijana ...Idadi ya wagonjwa wa figo Muhimbili yazidi kuongezeka
Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi amezungumza kuhusu ongezeko la wagonjwa wa kusafisha figo ambapo amesema kwa siku ...Tume ya uchaguzi yatangaza uchaguzi wa madiwani kwenye Kata 23
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza uchaguzi mdogo wa madiwani kwenye kata 23 za Tanzania Bara utakaofanyika Machi 20, mwaka huu. Taarifa ...UDSM na UDOM vyakabiliwa na upungufu mkubwa wa wakufunzi
Ripoti iliyowasilishwa bungeni hivi karibuni kuhusu utendaji wa jumla wa sekta ya elimu imebainisha kuwa baadhi ya vyuo vikuu nchini vinakabiliwa na ...