Data
Ripoti ya Mkaguzi Mkuu yabaini upendeleo wa kikabila kwa wafanyakazi ofisi ya Gachagua
Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali imeonesha kuwa kulikuwa na upendeleo mkubwa wa kikabila upande wa ajira katika ofisi ya ...Zaidi ya wanamgambo 70 wa Al- Shabaab wauawa Somalia
Serikali ya Somalia imesema zaidi ya wanamgambo 70 wa kundi la Al-Shabaab wameuawa nchini humo katika operesheni ya jeshi kwa ushirikiano na ...UNAIDS yatabiri ongezeko la maambukizi ya Ukimwi Marekani ikiendelea na usitishwaji wa misaada
Shirika la Umoja wa Mataifa la Ukimwi (UNAIDS) limesema kesi mpya za maambukizi ya HIV na Ukimwi huenda zikaongezeka kwa zaidi ya ...Wizara ya Afya yafafanua upatikanaji wa dawa za ARV
Wizara ya Afya imesema dawa za kufubaza makali ya Virusi vya Ukimwi (ARV) haziuzwi na zipo za kutosha, hivyo watumiaji wa dawa ...Trump atangaza kusitisha misaada Afrika Kusini
Rais wa Marekani, Donald Trump, amedai kuwa Afrika Kusini inataifisha ardhi na kuwatendea vibaya watu wa tabaka fulani, kutokana na hayo, ametangaza ...