Data
Ufanisi wa Bandari ya Mtwara waongezeka zaidi ya mara mbili
Katika juhudi za kuboresha huduma za Bandari ya Mtwara, mitambo mpya inayojulikana kama harbour crane ya kupakia na kushusha shehena kwenye meli, ...Nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya wanawake Serikalini
Ni ukweli usiopingika kwamba wanawake na wanaume bado hawana haki sawa duniani, ikiwa ni pamoja na nchi nyingi za Afrika. Ripoti ya ...Ripoti: Matukio ya ukeketaji yaongezeka kwa asilimia 15 duniani
Ripoti mpya iliyotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) imeonesha kuwa idadi ya wanawake na wasichana wanaokeketwa imeongezeka ...Utafiti: Wanawake wanaoweka nywele dawa hatarini kupata saratani ya mfuko wa uzazi
Utafiti mpya kutoka Chuo Kikuu cha Boston unaonyesha kwamba wanawake wanaoweka dawa kwenye nywele (hair relaxers) zaida ya mara mbili kwa mwaka ...Mfahamu Dorothy Semu, kiongozi aliyemrithi Zitto Kabwe ACT-Wazalendo
Dorothy alizaliwa mwaka 1975 na wazazi waliokuwa watumishi wa umma na kukulia jijini Arusha na mkoani Kilimanjaro nchini Tanzania. Alipata shahada ya ...