Data
Wakazi 30,000 wa Dar na Mwanza wanaugua Saratani
Takribani asilimia 3.75 ya watu waliopimwa saratani chini ya Mradi Mtambuka wa Saratani Tanzania (TCCP) wamegundulika kuwa na ugonjwa huo, jambo ambalo ...Nauli za daladala zapanda. Hizi ni nauli mpya zilizotangazwa na LATRA
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza nauli mpya ya mabasi ya mijini na masafa marefu ambapo safari ambazo hazizidi kilomita 10 ...NECTA yawafutia matokeo wanafunzi 31
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza kufuta matokeo ya watahiniwa 31, waliofanya mtihani wa Darasa la Saba mwaka 2023 baada ya ...Tazama hapa matokeo ya mtihani wa Darasa la Saba mwaka 2023
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Darasa la Saba ambapo ufaulu umepanda kwa asilimia 0.96 na watahiniwa milioni 1.09 ...Tigo yazindua kampeni ya Magifti Dabo Dabo kuwazawadia wateja wake, milioni 30 na magari mawili ...
Kampuni ya mtindo wa maisha ya kidigitali inayoongoza Tanzania, Tigo, ina shauku kutanganza uzinduzi wa kampeni yake mpya ya ‘Magifti Dabo Dabo’. ...Hatua 6 za kuzingatia unapoitwa kwenye mahojiano na polisi
Kuitwa polisi ni hali inayoweza kutokea kwa sababu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na uchunguzi wa makosa, kutoa taarifa, au kutoa ushahidi. Ikiwa ...