Data
Nchi 10 za Afrika zenye madeni makubwa zaidi IMF
Nchi nyingi zinakabiliwa na changamoto za kiuchumi ambazo mara nyingine husababisha kutafuta msaada kutoka kwa taasisi kama Shirika la Fedha Duniani (IMF), ...Dawa za uchungu za mitishamba zinavyoongeza vifo vya wajawazito
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Dkt. Thomas Rutachuzibwa ameseama matumizi ya dawa za mitishamba kwa ajili ya kuongeza uchungu kwa akina ...Binti (13) amuua mama yake kisa kumnyang’anya simu yake
Polisi nchini Kenya wanamshikilia msichana wa miaka 13 kwa tuhuma za kumuua mama yake mzazi kwa kutumia panga baada ya kutokea mvutano ...Daktari: Talaka chanzo cha ugonjwa wa akili kwa wanawake
Daktari wa Afya ya Akili katika Hospitali ya Wagonjwa wa Akili Kidingo Chekundu Zanzibar, Khadija Omar amesema wimbi la talaka nchini linapelekea ...Nchi 10 zilizopeleka wajumbe wengi zaidi COP28 (Dubai)
Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP) hufanyika kila mwaka kujadili masuala yanayohusu mabadiliko ya tabianchi. Mkutano huu hufanyika ...Maambukizi mapya ya UKIMWI yamepungua nchini
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amezindua ripoti ya utafiti wa viashiria vya UKIMWI ambayo inaonesha maambukizi mapya miongoni mwa watu wazima wenye umri ...