Data
Orodha ya nchi 10 za Afrika zenye viwango vya juu vya watu wasio na makazi
Katika baadhi ya maeneo ya Afrika, watu wanakabiliwa na ukosefu wa makazi kutokana na sababu kadhaa. Kuna nchi ambazo zinakumbwa na mapigano ...Nchi 10 za Afrika zinazoongoza kwa ndoa za wake wengi
Ndoa za mke zaidi ya mmoja au mitala zimepigwa marufuku katika sehemu nyingi duniani, na hata Kamati ya Haki za Binadamu ya ...Hizi ndizo fani 6 zitakazopewa mikopo kwa wanafunzi wa Diploma
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema wanafunzi takribani 8000 watakaodailiwa kusoma stashahada katika fani zitakazopewa kipaumbele, watakaribishwa kuomba ...Utafiti: Wasichana wengi walioachwa na wachumba zao hupata ukichaa
Idadi ya wasichana wanaochumbiwa na kuvishwa pete kisha kuachwa na wanaume zao imezidi kuongezeka na kuwapelekea wengi wao kupata kichaa na msongo ...PPRA: Serikali imepata hasara ya TZS bilioni 8
Ripoti ya ukaguzi na uchunguzi iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA) imebainisha kuwa Serikali imepata hasara ya jumla ...Dar yaongoza kwa idadi ya wanaong’atwa na mbwa
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), Arbogast Warioba amesema zaidi ya watu 20,000 wameripotiwa kung’atwa na mbwa ...