Data
Watanzania watano wafariki kwenye ajali ya moto Afrika Kusini
Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Meja Jenerali Gaudence Milanzi amethibitisha vifo vya Watanzania watano katika ajali ya moto uliozuka kwenye jengo ...Tanzania yashika nafasi ya pili unywaji pombe Afrika
Baadhi ya tamaduni huona unywaji pombe kuwa jambo la kufurahisha, ilhali tamaduni nyingine huona ulevi kuwa ni dhambi. Mwaka 2019 Shirika la ...Kwanini familia ya Rais aliyepinduliwa nchini Gabon inapigwa vita?
Familia ya Bongo imekuwa maarufu katika siasa za Gabon kwa zaidi ya miongo mitano. Omar Bongo alikuwa Rais wa muda mrefu wa ...Tanzania ya 10 Afrika kwa wanawake kuthamini zaidi urembo
Utafiti uliofanywa na Sagaci Research umebaini kwamba wanawake nchini Nigeria wanathamini zaidi mwonekano wao wa nje. Kwa mujibu wa utafiti huo, asilimia ...Nchi 10 za Afrika zenye intaneti yenye kasi zaidi
Kulingana na ripoti iliyotolewa na Ookla, Afrika Kusini imetajwa kuwa na ongezeko kubwa zaidi la kasi ya intaneti ya simu ikifikia nafasi ...Mjue Askofu Alex Gehaz Malasusa, Mkuu mpya wa KKKT
Mkutano Mkuu wa 21 wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), umemchagua Askofu Alex Malasusa (62) kuwa Mkuu wa KKKT, akichukua ...