Data
WHO yasema zaidi ya milioni 10 wanaweza kuambukizwa HIV baada ya Marekani kusitisha misaada
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetahadharisha uwezekano wa maambukizi mapya ya HIV zaidi ya milioni 10 na vifo vya watu milioni 3, ...Serikaali yatoa mwongozo kwa wasafiri kufuatia uwepo wa Mpox nchini
Kufuatia serikali kutangaza uwepo wa ugonjwa wa Mpox nchini, Wizara ya Afya imesema imeanza kutekeleza afua za afya ili kuweza kuzuia kuenea ...Jeshi la Israel lakiri kushindwa kuwalinda raia wake
Uchunguzi wa ndani wa Jeshi la Israel kuhusu shambulio la Hamas la Oktoba 7, 2023, umekiri kuwa jeshi lilishindwa kabisa kuzuia shambulio ...Ripoti ya Mkaguzi Mkuu yabaini upendeleo wa kikabila kwa wafanyakazi ofisi ya Gachagua
Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali imeonesha kuwa kulikuwa na upendeleo mkubwa wa kikabila upande wa ajira katika ofisi ya ...Zaidi ya wanamgambo 70 wa Al- Shabaab wauawa Somalia
Serikali ya Somalia imesema zaidi ya wanamgambo 70 wa kundi la Al-Shabaab wameuawa nchini humo katika operesheni ya jeshi kwa ushirikiano na ...UNAIDS yatabiri ongezeko la maambukizi ya Ukimwi Marekani ikiendelea na usitishwaji wa misaada
Shirika la Umoja wa Mataifa la Ukimwi (UNAIDS) limesema kesi mpya za maambukizi ya HIV na Ukimwi huenda zikaongezeka kwa zaidi ya ...