Data
Ajira milioni 14 kutoweka ndani ya miaka 5 ijayo
Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF) limesema kufikia mwaka 2027 nafasi mpya za kazi milioni 69 zitaundwa, na kuondolewa kwa nafasi milioni 83 ...Orodha 10 ya wasanii Afrika wanaotazamwa zaidi Youtube
Mtandao wa YouTube ndio unaoongoza kwa wasanii dunia kupakia video zao kwa ajili ya kutazamwa na mashabiki wao, lakini kama njia ya ...Watoto 900, wajawazito 57 wafariki kwa kukosa huduma za uzazi
Mkuu wa mkoa wa Geita, Martine Shigela amesema zaidi ya watoto 900 na wajawazito zaidi ya 57 mkoani humo wamefariki kwa kukosa ...Wizara ya Afya: Ripoti ya mlipuko wa Kipindupindu Dar es Salaam
[pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2023/04/Cholera-DSM-SitRep-002-23-April-23_new_230425_103911.pdf” title=”Cholera DSM SitRep 002-23 April 23_new_230425_103911″]Wanadiplomasia na raia wa kigeni waendelea kuikimbia Sudan
Orodha ya nchi zinazowaondoa raia wake na wanadiplomasia kutoka nchini Sudan inazidi kuongezeka huku mapigano makali yakiendelea kushika kasi katika mji mkuu ...Dar es Salaam ya 85 kati ya majiji tajiri zaidi duniani
Ripoti ya shirika la New World Wealth and Henley Partners imelitaja jiji la Dar es Salaam kuwa jiji la 85 kwa utajiri ...