Data
Waziri Nape: Niliambiwa nikichunguza uvamizi Clouds nitafukuzwa kazi
Waziri wa Habari na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema aliamua kuchagua heshima badala ya cheo chake wakati wa uchunguzi wa sakata ...Kenya: Serikali yapandisha bei ya umeme kwa hadi asilimia 63
Bei ya umeme nchini Kenya inatarajiwa kuongezeka kwa hadi asilimia 63 baada ya mdhibiti wa sekta ya nishati kuidhinisha ushuru wenye gharama ...Ripoti ya ajali ya Precision Air yaibua mapya chanzo cha ajali na aliyefungua mlango
Ripoti ya pili ya uchunguzi wa ajali ya ndege ya Precision Air iliyoanguka Ziwa Victoria mkoani Kagera na kuua watu 19 ambayo ...Nchi 10 za Afrika ambazo watu wake wana furaha zaidi
Mtandao wa kimataifa ‘Sustainable Development Solutions Network’ umetoa orodha ya nchi zenye furaha zaidi duniani ambako watu wake wameridhika na hali ya ...Thamani ya uwekezaji nchini yakua kufikia TZS trilioni 19
Takwimu za Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) zimeonesha thamani ya uwekezaji uliofanyika nchini katika kipindi cha miaka miwili imeongezeka kwa asilimia 173. ...Nchi 9 za Afrika zilizotembelewa na watalii wengi zaidi mwaka 2022
Afrika ni bara zuri na lenye historia za asili na za kusisimua, ambapo mamilioni ya wageni hutembelea kila mwaka. Bara hili limejaa ...