Data
TMA yatoa tahadhari uwepo wa kimbunga CHIDO Bahari ya Hindi
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya uwepo wa kimbunga ‘CHIDO’ katika Bahari ya Hindi, Kaskazini mwa kisiwa cha ...Wanawake 5 wa Kiafrika wenye nguvu zaidi katika orodha ya Forbes 2024
Katika ulimwengu wa sasa, dhana ya mwanamke mwenye nguvu imebadilika sana, ikiondoka kwenye mawanda ya jadi kama utajiri, hadhi ya kijamii, au ...Benki ya Dunia yapunguza makadirio ukuaji wa uchumi wa Kenya 2024
Benki ya Dunia imepunguza makadirio ya ukuaji wa uchumi wa Kenya kwa mwaka 2024 hadi asilimia 4.7 kutoka asilimia 5.0 ya awali, ...Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 1548
Katika kuadhimisha Miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara, Rais Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa 1548, ambapo wafungwa 22 kati ...Serikali: Tunachunguza madai ya wanafunzi kufukuzwa kisa wazazi wao wanaunga mkono CHADEMA
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameagiza kuchunguzwa kwa taarifa ya wanafunzi 14 wa Shule ya Msingi Izinga, iliyopo ...