Data
Nyimbo 10 za Tanzania zinazotazamwa sana YouTube kuanzia mwezi Februari 2023
Soko la Muziki wa Tanzania limeendelea kufanya vizuri kutokana na mwitikio wa mashabiki katika mitandao mbalimbali ya kijamii. Mitandao imewasaidia wasanii wa ...Marekani yatishia kupiga marufuku mtandao wa TikTok
Serikali ya Marekani imewataka wamiliki wa TikTok kutoka nchini China kuacha hisa zao katika programu hiyo maarufu ya video au vinginevyo watapigwa ...Watu 4,060 wamefariki kwa ajali za barabarani nchini tangu mwaka 2020
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema ndani ya kipindi cha miaka mitatu kuanzia mwaka 2020 hadi Desemba mwaka 2022 jumla ya ajali zilizotokea ...Nchi 10 Afrika zinazodaiwa zaidi na China
Athari za kiuchumi za janga la UVIKO-19 na vita vya Urusi na Ukraine vimefanya iwe vigumu zaidi kwa nchi nyingi za Afrika ...Mfumuko wa bei washuka Februari 2023
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imetangaza kupungua kwa mfumuko wa bei nchini kutoka asilimia 4.9 kwa mwaka ulioishia Januari, 2023 hadi ...Hiki ndicho kilichopelekea kuanzishwa Siku ya Wanawake Duniani
Harakati za Siku ya Wanawake Duniani zilianza mnamo mwaka 1908 ambapo jumla ya wanawake 15,000 waliandamana katika Mji wa New York wakidai ...