Data
Utafiti: Asilimia 30 ya watu nchini wana tatizo la ugumba
Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema imejipanga kupitia upya gharama za upandikizaji wa mimba kwa wananchi wenye matatizo ya kutopata watoto ili ...Sigara bandia za TZS milioni 573 zateketezwa
Kikosi cha kuzuia na kupambana magendo Kanda ya Ziwa kimeteketeza tani 13.25 za sigara bandia mkoani Shinyanga zilizokuwa zinaingizwa nchini. Akizungumza wakati ...Serikali yaitaka TCU kuchunguza tuzo zinazotolewa na vyuo vya nje
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda ameitaka Bodi ya Tume ya Elimu ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) kuchunguza ubora ...Wakenya wapika na kuuza chang’aa Uarabuni
Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya, Alfred Mutua amesema kuna baadhi ya raia wa nchi hiyo waishio ughaibuni wanaojihusisha na utengenezaji ...Serikali kuchunguza vitabu vya shule vinavyohamasisha mapenzi ya jinsia moja
Serikali imesema inafuatilia suala la vitabu vya shule vinavyodaiwa kuwa na maudhui ya kuhamasisha mapenzi ya jinsia moja kwa watoto na kutoa ...