Data
Asilimia 24 ya Watanzania hawajui kusoma na kuandika
Kwa mujibu wa ripoti mwaka 2020/21 ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) asilimia 76 ya Watanzania wanajua kusoma, kuandika na kufanya ...Rubani wa ndege iliyoanguka Nepal hakuripoti hatari yoyote kabla ya ajali
Msemaji wa uwanja wa ndege wa Pokhara, Anup Joshi amesema rubani wa ndege ya Yeti Airlines iliyoanguka ikitokea Mji Mkuu wa Nepal ...Nauli mpya za Mwendokasi zitakazoanza kutumika Januari 16, 2023
[pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2023/01/Taarifa-kwa-Umma-NAULI.pdf” title=”Taarifa kwa Umma NAULI”]Raia wa Kenya adukua mifumo ya Zimbabwe na kuiba bilioni 280
Mwanamke mmoja raia wa Kenya anakabiliwa na mashitaka ya ulaghai nchini Zimbabwe baada ya kudaiwa kuhusika katika udukuzi wa mifumo ya Mfuko ...IGP Wambura afanya mabadiliko ya makamanda wa polisi wa mikoa
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura amemhamisha aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi ...Petroli yashuka, dizeli yapanda bei mpya kuanzia Januari 4, 2023
[pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2023/01/Cap-Prices-Publication-wef-4-January-2023-English.pdf” title=”Cap Prices Publication wef 4 January 2023 English”]