Data
Sigara bandia za TZS milioni 573 zateketezwa
Kikosi cha kuzuia na kupambana magendo Kanda ya Ziwa kimeteketeza tani 13.25 za sigara bandia mkoani Shinyanga zilizokuwa zinaingizwa nchini. Akizungumza wakati ...Serikali yaitaka TCU kuchunguza tuzo zinazotolewa na vyuo vya nje
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda ameitaka Bodi ya Tume ya Elimu ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) kuchunguza ubora ...Wakenya wapika na kuuza chang’aa Uarabuni
Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya, Alfred Mutua amesema kuna baadhi ya raia wa nchi hiyo waishio ughaibuni wanaojihusisha na utengenezaji ...Serikali kuchunguza vitabu vya shule vinavyohamasisha mapenzi ya jinsia moja
Serikali imesema inafuatilia suala la vitabu vya shule vinavyodaiwa kuwa na maudhui ya kuhamasisha mapenzi ya jinsia moja kwa watoto na kutoa ...Asilimia 24 ya Watanzania hawajui kusoma na kuandika
Kwa mujibu wa ripoti mwaka 2020/21 ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) asilimia 76 ya Watanzania wanajua kusoma, kuandika na kufanya ...Rubani wa ndege iliyoanguka Nepal hakuripoti hatari yoyote kabla ya ajali
Msemaji wa uwanja wa ndege wa Pokhara, Anup Joshi amesema rubani wa ndege ya Yeti Airlines iliyoanguka ikitokea Mji Mkuu wa Nepal ...