Data
Raia wa Kenya adukua mifumo ya Zimbabwe na kuiba bilioni 280
Mwanamke mmoja raia wa Kenya anakabiliwa na mashitaka ya ulaghai nchini Zimbabwe baada ya kudaiwa kuhusika katika udukuzi wa mifumo ya Mfuko ...IGP Wambura afanya mabadiliko ya makamanda wa polisi wa mikoa
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura amemhamisha aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi ...Petroli yashuka, dizeli yapanda bei mpya kuanzia Januari 4, 2023
[pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2023/01/Cap-Prices-Publication-wef-4-January-2023-English.pdf” title=”Cap Prices Publication wef 4 January 2023 English”]IMF: Mwaka 2023 utakuwa mwaka mgumu zaidi
Mkuu wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Kristalina Georgieva amesema kwamba mwaka huu 2023 theluthi moja ya dunia itaathiriwa na mdororo ...New York yahalalisha miili kugeuzwa mbolea baada ya kifo
New York imekuwa jimbo la sita nchini Marekani kuhalalisha mtu kugeuza mwili wake kuwa udongo baada ya kifo chake, hatua iliyoonekana kama ...Swahili Times Top Tweeps: Watumiaji Watano Bora wa Twitter Tanzania 2022*
Mwisho wa mwaka ni wakati ambapo mtu mmoja mmoja, vikundi au familia hupata wasaa wa kuangazia mambo waliyoyafanya kwa mwaka mzima, huku ...