Data
Polisi walaumu panya kwa kula 200kg za bangi za ushahidi
Polisi nchini India wamewalaumu panya kwa kuharibu karibu kilo 200 za bangi iliyonaswa kutoka kwa wahalifu na kuhifadhiwa katika vituo vya polisi ...TANESCO: Upatikanaji umeme utaimarika Desemba 2022
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema kutokana na ukame mkubwa ulioikumba nchi, uwezo wa kuzalisha umeme kwa kutumia maji umepungua kwa jumla ...Watafiti wabaini kupungua kwa manii kwa wanaume
Katika kipindi cha miaka 50 iliyopita, idadi ya mbegu za kiume za binadamu imeonekana kupungua kwa zaidi ya asilimia 50 kote ulimwenguni, ...Kamati: Uwezo mdogo kiakili chanzo wanafunzi kufeli Shule ya Sheria
Mwenyekiti wa kamati ya kufuatilia tathmini ya mafunzo yanayotolewa na taasisi ya uanasheria kwa vitendo nchini (LST) Dkt Harrison Mwakyembe, amekabidhi ripoti ...Dawa za kukuzia mifugo zinavyosababisha usugu kwa dawa kwa binadamu
Wataalam wa mifugo na wafamasia wamesema ukuzaji wa ng’ombe na kuku kwa kutumia antibaotiki unachangia tatizo la usugu kwa asilimia 80 katika ...Waganga waonywa kuwapa watoto dawa za mvuto wa kimapenzi
Shirikisho la Waganga wa Tiba za Asili (SHIVYATIATA) Kanda ya Magharibi limesema halitawavumilia wala kuwalinda waganga wa jadi wanaotoa dawa za mvuto ...