Data
Kamati: Uwezo mdogo kiakili chanzo wanafunzi kufeli Shule ya Sheria
Mwenyekiti wa kamati ya kufuatilia tathmini ya mafunzo yanayotolewa na taasisi ya uanasheria kwa vitendo nchini (LST) Dkt Harrison Mwakyembe, amekabidhi ripoti ...Dawa za kukuzia mifugo zinavyosababisha usugu kwa dawa kwa binadamu
Wataalam wa mifugo na wafamasia wamesema ukuzaji wa ng’ombe na kuku kwa kutumia antibaotiki unachangia tatizo la usugu kwa asilimia 80 katika ...Waganga waonywa kuwapa watoto dawa za mvuto wa kimapenzi
Shirikisho la Waganga wa Tiba za Asili (SHIVYATIATA) Kanda ya Magharibi limesema halitawavumilia wala kuwalinda waganga wa jadi wanaotoa dawa za mvuto ...Asilimia 65 ya wanawake Rwanda wanaamini ni sawa kupigwa na waume zao
Waziri wa Jinsia na Ukuzaji wa Familia nchini Rwanda, Jeannette Bayisenge, amesema uchunguzi uliofanywa ulibaini kuwa asilimia 65 ya wanawake waliohojiwa walisema ...Taarifa kuhusu wanafunzi 28,000 waliokosa mikopo
Shirikisho la Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (Tahliso) limesema, wanafunzi 28,000 waliokuwa na vigezo vya kupata mkopo na kukosa ...