Data
Serikali kuchukua hatua video ya wanafunzi inayosambaa mitandaoni
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Adolf Mkenda amesema Serikali inaendelea kufuatilia utovu wa nidhamu uliofanywa na baadhi wa wanafunzi wa shule ...Waliofariki ajali ya ndege ya Precision Air wafikia 19
Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema mpaka sasa idadi ya waliofariki katika ajali ya Ndege ya Precision Air kwenye Ziwa Victori mkoani ...Mwalimu wa Madrasa adaiwa kulawiti watoto 10 aliokuwa anawafundisha
Polisi wanamshikilia Mwalimu wa Madrasa anayefahamika kwa jina moja la Faidh kwa tuhuma za kulawiti watoto 10 wa kiume wenye umri kati ...Polisi watano wakamatwa kwa kusafirisha wahamiaji haramu
Jeshi la Polisi linawashikilia Polisi watano wa kituo kidogo cha Uyole jijini Mbeya kwa tuhuma za kula njama na kutaka kusafirisha wahamiaji ...Serikali: Waathirika wa mabomu ya Mbagala hawakupewa fidia bali kifuta machozi
Serikali imesema kuwa walicholipwa waathirika wa mabomu ya Mbagala yaliyotokea mkoani Dar es Salaam ni kifuta machozi na sio fidia, kwa kuwa ...